# Kwakuwa nasema Neno "Mimi linafafanua juu ya Paulo. # "Kristo amefanywa mtumishi wa tohara Yesu Kristo alikuja kuwasaidia Wayahudi" # ili kwamba aweze kuthibitisha ahadi walizopewa mababa "kwamba Mungu aweze kuzithibitisha ahadi alizowapa mababa wa Wayahudi" # kama ilivyoandikwa "kama ilivyoandikwa kwenye maandiko" # na kwa mataifa "na Kristo amefanywa mtumishi wa mataifa"