sw_tn/rom/11/19.md

32 lines
645 B
Markdown

# Matawi yalikatwa
"Mungu aliyakata matawi"
# Matawi
Neno hili limetumika kuwaelezea Wayahudi walikataliwa na Mungu.
# Naweza kupandikizwa
maneno haya yametumika kuwaelezea waamini wa Mataifa waliokubaliwa na Mungu. "anaweza kunipachika"
# "walikatwa"
"aliwakata"
# wao... wale
Maneno "wao" au "wale" inamaanisha Wayahudi ambao hawakuamini.
# Lakini wewe simama kwa imani yako
"Lakini ubaki kwa sababu ya imani yako"
# Kwa maana ikiwa Mungu hakuyaachia matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe
"Kwa maana ikiwa Mungu hakuyahurumia matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe"
# Matawi ya asili
Hii inamaanisha Wayahudi