# Matawi yalikatwa "Mungu aliyakata matawi" # Matawi Neno hili limetumika kuwaelezea Wayahudi walikataliwa na Mungu. # Naweza kupandikizwa maneno haya yametumika kuwaelezea waamini wa Mataifa waliokubaliwa na Mungu. "anaweza kunipachika" # "walikatwa" "aliwakata" # wao... wale Maneno "wao" au "wale" inamaanisha Wayahudi ambao hawakuamini. # Lakini wewe simama kwa imani yako "Lakini ubaki kwa sababu ya imani yako" # Kwa maana ikiwa Mungu hakuyaachia matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe "Kwa maana ikiwa Mungu hakuyahurumia matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe" # Matawi ya asili Hii inamaanisha Wayahudi