sw_tn/rom/11/06.md

24 lines
643 B
Markdown

# Lakini ikiwa ni kwa neema
Paulo anaendelea kuelezea namna neema ya Mungu inavyofanya kazi. "kwa kuwa neema ya Mungu inafanya kazi kwa rehema"
# Ni nini basi?
"Tuhitimishe vipi?" "hivi ndivyo ambavyo tunapaswa kukumbuka."
# Mungu amewapa roho ya ubutu, macho ili wasione, na masikio ili wasisikie
Huu ni ufafanuzi kuhusu ukweli kwamba niwabutu kiroho. Hawana uwezo wa kuona na kusikia ukweli wa kiroho.
# Roho ya
Hapa inamaanisha "kuwa na tabia za" mfano "roho ya hekima."
# Macho ili wasione
Kuona kwa jicho moja ilichukuliwa kuwa sawa na kupata uelewa.
# Masikio ili wasisikie
Kusikia kwa masikio ilichukuliwa kuwa sawa na utii.