sw_tn/rom/10/intro.md

1.6 KiB

Warumi 10 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri zinaweka nukuu za nathari kutoka Agano la Kale upande wa kulia zaidi wa ukurasa kushinda maandiko yote. ULB inafanya hivi kwa maneno yaliyotajwa katika mstari wa 8.

Baadhi ya tafsiri huweka kila mstari wa mashairi upande wa kulia zaidi kuliko maandiko yote ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivi kwa mistari 18-20 ya sura hii, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.

Dhana maalum katika sura hii

Haki ya Mungu

Paulo anafundisha hapa kwamba ingawa Wayahudi wengi walijaribu kuwa wenye haki, hawakufanikiwa. Hatuwezi kupata haki ya Mungu kwa kazi yetu mwenyewe. Mungu anatupa haki ya Yesu tunapomwamini. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/righteous]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/faith]])

Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii

Maswali ya uhuishaji

Paulo anatumia maswali mengi ya uhuishaji katika sura hii. Anafanya hivyo kuwashawishi wasomaji wake kwamba Mungu hawaokoi watu wa Kiebrania pekee, hivyo Wakristo lazima wawe tayari kwenda kuhubiri Injili kwa ulimwengu wote. (See: [[rc:///ta/man/translate/figs-rquestion]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/save]])

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

"Nitawachochea wivu kwa kile ambacho si taifa"

Paulo anatumia unabii huu kuelezea kwamba Mungu atatumia kanisa kuwafanya watu wa Kiebrania kuwa na wivu. Hii ni ili wamtafute Mungu na kuamini Injili. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/prophet]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/jealous]] and rc://*/ta/man/translate/figs-explicit)

<< | >>