sw_tn/rom/10/16.md

16 lines
375 B
Markdown

# Lakini wote hawakusikiliza
"Lakini si Wayahudi wote walisikiliza'
# Bwana, nani ambaye ameamini ujumbe wetu?
Paulo anatumia swali hili kusisitia kwamba Isaya alitabiri katika Maandiko kwamba Wayahudi wengi hawataamini katika Yesu. "Bwana, wengi wao hawaamini ujumbe wetu"
# ujumbe wetu
hapa, "wetu" urejea kwa Mungu na Isaya.
# amini
kubali au amini kwamba ni kweli