# Lakini wote hawakusikiliza "Lakini si Wayahudi wote walisikiliza' # Bwana, nani ambaye ameamini ujumbe wetu? Paulo anatumia swali hili kusisitia kwamba Isaya alitabiri katika Maandiko kwamba Wayahudi wengi hawataamini katika Yesu. "Bwana, wengi wao hawaamini ujumbe wetu" # ujumbe wetu hapa, "wetu" urejea kwa Mungu na Isaya. # amini kubali au amini kwamba ni kweli