sw_tn/rom/09/30.md

16 lines
276 B
Markdown

# Tutasema nini basi?
Tofasiri mbadala: "Hivi ndivyo tunapaswa kusema"
# Kwamba mataifa
Tofasiri mbadala: "Tutasema kwamba wa mataifa"
# ambao hawakuitafuta haki
"ambao hawakujaribu kumfurahisha Mungu"
# hawakuweza kuifikia
"hawakuweza kuipata haki kwa kuifata sheria"