sw_tn/rom/08/12.md

28 lines
586 B
Markdown

# Hivyo basi
"Kwasababu yale niliyokwisha kuwaambia ni kweli"
# ndugu
"waumini wenzangu"
# sisi tu wadeni
Paulo analinganisha utii kama kulipa deni. "tunahitaji kutii"
# lakini sio kwa mwili kuishi kulingana na mwili
"lakini sisi si wadeni wa mwili, na sisi hatupaswi kuzitii tamaa zetu za dhambi"
# Kwa maana mkiishi kwa jinsi ya mwili
"Kwasababu mkiishi tu kwa kupendeza tamaa zenu za dhambi"
# mko karibu kufa
"hakika mtatengwa na Mungu"
# lakini ikiwa kwa Roho mnayafisha matendo ya mwili
"Lakini ikiwa kwa nguvu ya Roho Mtakatifu mnaacha kuzitii tamaa zenu za dhambi"