# Hivyo basi "Kwasababu yale niliyokwisha kuwaambia ni kweli" # ndugu "waumini wenzangu" # sisi tu wadeni Paulo analinganisha utii kama kulipa deni. "tunahitaji kutii" # lakini sio kwa mwili kuishi kulingana na mwili "lakini sisi si wadeni wa mwili, na sisi hatupaswi kuzitii tamaa zetu za dhambi" # Kwa maana mkiishi kwa jinsi ya mwili "Kwasababu mkiishi tu kwa kupendeza tamaa zenu za dhambi" # mko karibu kufa "hakika mtatengwa na Mungu" # lakini ikiwa kwa Roho mnayafisha matendo ya mwili "Lakini ikiwa kwa nguvu ya Roho Mtakatifu mnaacha kuzitii tamaa zenu za dhambi"