sw_tn/rom/08/11.md

16 lines
332 B
Markdown

# kama roho...anaishi ndani yenu
Paulo anaamini kuwa Roho Mtakatifu anaishi ndani ya wasomaji wake. "Kwa kuwa Roho...anaishi ndani yenu"
# ya yule aliyemfufua
"ya Mungu, aliyemfufua"
# fufuliwa
Hapa hii imaanisha kumfanya mtu alikufa kuwa hai tena.
# mwili wa kibinadamu
"mwili wa nyama" au "miili, ambayo siku moja itakufa"