# kama roho...anaishi ndani yenu Paulo anaamini kuwa Roho Mtakatifu anaishi ndani ya wasomaji wake. "Kwa kuwa Roho...anaishi ndani yenu" # ya yule aliyemfufua "ya Mungu, aliyemfufua" # fufuliwa Hapa hii imaanisha kumfanya mtu alikufa kuwa hai tena. # mwili wa kibinadamu "mwili wa nyama" au "miili, ambayo siku moja itakufa"