sw_tn/rom/07/15.md

24 lines
483 B
Markdown

# Taarifa unganishi:
Paulo anaongea kuhusu vita iliyopo kwenye utu wake wa ndani kati ya mwili wake na sheria ya Mungu - kati ya dhambi na wema.
# Kwa maana nilifanyalo, kwa hakika silielewai
"Mimi sina uhakika kwanini nafanya mambo niyafanyayo"
# Kwa
"Mimi sielewi kwanini nafanya niyafanyayo kwa sababu"
# nisilolipenda, natenda
"Mambo ambayo najua si mema ndiyo niyafanyayo"
# Lakini
"Hata hivyo"
# Mimi nakubaliana na sheria
"Mimi najua kuwa sheria ya Mungu ni njema"