# Taarifa unganishi: Paulo anaongea kuhusu vita iliyopo kwenye utu wake wa ndani kati ya mwili wake na sheria ya Mungu - kati ya dhambi na wema. # Kwa maana nilifanyalo, kwa hakika silielewai "Mimi sina uhakika kwanini nafanya mambo niyafanyayo" # Kwa "Mimi sielewi kwanini nafanya niyafanyayo kwa sababu" # nisilolipenda, natenda "Mambo ambayo najua si mema ndiyo niyafanyayo" # Lakini "Hata hivyo" # Mimi nakubaliana na sheria "Mimi najua kuwa sheria ya Mungu ni njema"