sw_tn/rom/07/09.md

8 lines
310 B
Markdown

# dhambi iliutawala uhai
Hii inaweza kumaanisha 1) " Nilitambua kuwa nilikuwa natenda dhambi" (UDB) 2) "Nilitamani sana kutenda dhambi."
# Ile amri ambayo ingelileta uzima iligeuka kuwa mauti kwangu.
Paulo hakufa kabisa kimwili. "Mungu alinipa mimi amri ili nipate kuishi, lakini badala yake iliniua mimi."