# dhambi iliutawala uhai Hii inaweza kumaanisha 1) " Nilitambua kuwa nilikuwa natenda dhambi" (UDB) 2) "Nilitamani sana kutenda dhambi." # Ile amri ambayo ingelileta uzima iligeuka kuwa mauti kwangu. Paulo hakufa kabisa kimwili. "Mungu alinipa mimi amri ili nipate kuishi, lakini badala yake iliniua mimi."