sw_tn/rom/05/14.md

24 lines
868 B
Markdown

# Bila shaka
"Bado" au "Hapakuwa na kuandikwa kwa sheria kutokea wakati wa Adamu mpaka wakati wa Musa, lakini"
# kifo kilitawala kutokea Adamu mpaka Musa
Paulo analinganisha kifo na mfalme. "watu waliendelea kufa kutokea wakati wa Adamu mpaka wakati wa Musa kama matokeo ya dhambi zao."
# hata kwa wale hawakutenda dhambi kama kutotii kwa Adamu
"hata watu ambao dhambi zao zilikuwa tofauti na za Adamu waliendelea kufa"
# yeye ni mfano wa yeye aliyepaswa kuja
Adamu alikuwa mfano wa Kristo, ambaye alijitokeza badae. Alikuwa na vitu vya kufanana naye.
# Kwa kuwa kama...wengi walikufa...zaidi sana neema ya Mungu na zawadi...kuongezeka
Ni muhimu kwamba "wengi walikufa," lakini ni ya umuhimu zaidi kwamba "neema ya Mungu na zawadi" ziliongezeka
# zaidi ilivyofanya neema...na zawadi...kuongezeka
"Neema... na zawadi" zilikuwa kubwa na imara kuliko makosa