sw_tn/rom/02/15.md

20 lines
591 B
Markdown

# Kwa hili walionyesha
"Kwa kutii sheria walionyesha"
# Matendo yaliyotakiwa na sheria yaliyoandikwa kwenye mioyo yao
"Mungu ameandika kwenye mioyo yao mambo ambayo sheria inawataka wafanye" au "Walifahamu ni nini sheria iliwataka wao wafanye"
# Yaliyotakiwa na sheria
"Sheria inataka" au "Ambayo Mungu ameamuru kupitia sheria"
# kuwashuhudia wao, na mawazo yao wenyewe ama kuwashitaki au kuwalinda kwa ajili yao wenyewe
"waambie kama hawatii au wanatii amri za Mungu"
# Siku ambayo Mungu atahukumu
Hii inaelezea mwisho wa mawazo ya Paulo "hii itatokea siku ambayo Mungu atahukumu"