# Kwa hili walionyesha "Kwa kutii sheria walionyesha" # Matendo yaliyotakiwa na sheria yaliyoandikwa kwenye mioyo yao "Mungu ameandika kwenye mioyo yao mambo ambayo sheria inawataka wafanye" au "Walifahamu ni nini sheria iliwataka wao wafanye" # Yaliyotakiwa na sheria "Sheria inataka" au "Ambayo Mungu ameamuru kupitia sheria" # kuwashuhudia wao, na mawazo yao wenyewe ama kuwashitaki au kuwalinda kwa ajili yao wenyewe "waambie kama hawatii au wanatii amri za Mungu" # Siku ambayo Mungu atahukumu Hii inaelezea mwisho wa mawazo ya Paulo "hii itatokea siku ambayo Mungu atahukumu"