sw_tn/rev/21/26.md

16 lines
503 B
Markdown

# Wataleta
"Wafalme wa duniani wataleta"
# hakuna kichafu kitakachoingia ndani yake kamwe
maneno hasi haya mawili yanaweza kusemwa kwa hali chanya kwa kusema "kile kilicho kisafi tu ndio kitaingia."
# bali ni wale tu ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwanakondoo
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "lakini wale tu ambao Mwanakondoo ameandika majina yao katika kitabu cha Uzima"
# Mwanakondoo
Huyu ni mtoto wa kiume wa kondoo. Hapa hutumika kuashiria kuwa ni Kristo.