sw_tn/rev/15/intro.md

863 B

Ufunuo 15 Maelezo kwa jumla

Muundo na mpangilio

Matukio na picha zinazofafanuliwa hapa inatokea mbinguni.

Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 15:3-4

Dhana muhimu katika sura hii

"Mahali patakatifu, ambamo kulikuwa na hema la mashahidi palifunguka mbinguni"

Maelezo haya yamefanya wasomi wengine kuamini kwamba hekalu la Wayahudi lilikuwa na mandhari ya mbinguni. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/heaven]] na [[rc:///ta/man/translate/writing-apocalypticwriting]])

Nyimbo

Mbinguni mara nyingi huelezewa kama mahali ambapo watu wanaimba.Hizo ni nyimbo za ibada kwa Mungu. Hii inaashiria kwamba mbinguni ni mahali ambapo Mungu anaabudiwa kila mara.

<< | >>