sw_tn/rev/11/18.md

24 lines
619 B
Markdown

# Kauli Unganishi:
Wazee ishirini na nne wanaendelea kumsifu Mungu.
# Taarifa ya Jumla:
Maneno "yako" na "wako" yanamaanisha Mungu.
# Walikasirishwa
"walikasirika sana"
# ghadhabu yako imekuja
Inakuwepo katika muda wa sasa ikizungumzwa kama imeshatokea. "Upo tayari kuonyesha ghadhabu yako"
# Wakati umefika
Inakuwepo katika muda wa sasa ikizungumzwa kama imeshatokea. "Wakati ni sahihi" au "Sasa ni wakati"
# manabii, waamini, na wale walio na hofu ya jina lako
Orodha hii inafafanua maana ya "watumishi wako". Haya hayakuwa makundi matatu ya watu tofauti. Manabii walikuwa waamini na walimuogopa Mungu.