# Kauli Unganishi: Wazee ishirini na nne wanaendelea kumsifu Mungu. # Taarifa ya Jumla: Maneno "yako" na "wako" yanamaanisha Mungu. # Walikasirishwa "walikasirika sana" # ghadhabu yako imekuja Inakuwepo katika muda wa sasa ikizungumzwa kama imeshatokea. "Upo tayari kuonyesha ghadhabu yako" # Wakati umefika Inakuwepo katika muda wa sasa ikizungumzwa kama imeshatokea. "Wakati ni sahihi" au "Sasa ni wakati" # manabii, waamini, na wale walio na hofu ya jina lako Orodha hii inafafanua maana ya "watumishi wako". Haya hayakuwa makundi matatu ya watu tofauti. Manabii walikuwa waamini na walimuogopa Mungu.