sw_tn/rev/11/13.md

20 lines
350 B
Markdown

# atu elfu saba
"Watu 7,000"
# watakaobaki
"wale ambao hawatakufa" au "wale ambao bado wanaishi"
# kumpa utukufu Mungu wa mbinguni
"kusema kuwa Mungu wa mbinguni ni mtukufu"
# Ole ya pili imepita
"Tukio la pili baya limepita."
# Ole ya tatu inakuja upesi
Kuwepo kwa kipindi cha mbele inazungumziwa kama kijacho. "Ole ya tatu itatokea punde"