# atu elfu saba "Watu 7,000" # watakaobaki "wale ambao hawatakufa" au "wale ambao bado wanaishi" # kumpa utukufu Mungu wa mbinguni "kusema kuwa Mungu wa mbinguni ni mtukufu" # Ole ya pili imepita "Tukio la pili baya limepita." # Ole ya tatu inakuja upesi Kuwepo kwa kipindi cha mbele inazungumziwa kama kijacho. "Ole ya tatu itatokea punde"