sw_tn/rev/06/intro.md

1.4 KiB

Ufunuo 06 Maelezo ya jumla

Muundo na mpangilio

Mfano wa hasira ya Mungu katika sura hii imewekwa kutia uoga kwa wale watakayosikia maneno haya. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/fear)

Dhana muhimu katika sura hii

Mihuri saba

Kuna kutoelewana kuhusu jinsi mihuri hii imeambatanishwa kwenye kitabu.Ingekuwa ya kueleweka iwapo iliwekwa upande upande lakini kitabu kingeonyesha kilichomo baada ya muhuri wa mwisho kuvunjwa. Si hivyo sura hii inafafanua kitabu kwa sababu kila muhuri unafunua hukumu fulani. Inaaminika pia kwamba kutokuwepo kwa muhuri wa saba kunafunua baragumu saba za hukumu.(Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/judge]] na [[rc:///ta/man/translate/writing-apocalypticwriting]])

Bei Inaongezeka

Bei ya vitu fulani vitaongezeka kwa gahfla. Watu hawataweza kununua vitu wanavyohitaji kwa kuishi. Hii ndio inaitwa "mfumuko."

Mifano muhimu ya usemi katika sura hii

Yule Mwana-Kondoo

Hii inaashiria Yesu. Katika sura hii, inatumika pia kama cheo cha Yesu. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-explicit)

Mifano

Mwandishi anatumia aina nyingi za mifano. Hii ni kwa sababu anajaribu kufafanua picha ya vitu anavyoona katika maono. Kwa hivyo, analinganisha picha hizi kwenye maono na mambo ya kawaida. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-simile)

<< | >>