sw_tn/psa/148/011.md

12 lines
289 B
Markdown

# Kauli Unganishi:
Mwandishi anawaamuru watu wote kumsifu Yahwe
# mataifa yote
Neno "mataifa" linawakilisha watu wanoishi katika mataifa hayo. "watu wa mataifa yote"
# vijana wanaume na wanawali, wazee na watoto
Mwandishi anatumia tofauti hizi za jinsia na umri kuwakilisha kila mtu.