# Kauli Unganishi: Mwandishi anawaamuru watu wote kumsifu Yahwe # mataifa yote Neno "mataifa" linawakilisha watu wanoishi katika mataifa hayo. "watu wa mataifa yote" # vijana wanaume na wanawali, wazee na watoto Mwandishi anatumia tofauti hizi za jinsia na umri kuwakilisha kila mtu.