sw_tn/psa/139/019.md

12 lines
271 B
Markdown

# nendeni mabli na mimi, nyie watu wenye vurugu
Mwandishi wa zaburi anajifanya kuzungumza moja kwa moja na watu wenye vurugu ambao anao akilini.
# Wanaasi dhidi wako
"Wanaasi dhidi ya mamlaka yako, Mungu"
# adui zako wanasema uongo
"adui zako wanadanganya kukuhusu"