# nendeni mabli na mimi, nyie watu wenye vurugu Mwandishi wa zaburi anajifanya kuzungumza moja kwa moja na watu wenye vurugu ambao anao akilini. # Wanaasi dhidi wako "Wanaasi dhidi ya mamlaka yako, Mungu" # adui zako wanasema uongo "adui zako wanadanganya kukuhusu"