sw_tn/psa/135/003.md

12 lines
265 B
Markdown

# kwa kuwa ni vyema kufanya hivyo
"kwa sababu tunapata raha kwa kulisifu jina lake"
# Yahwe amemchagua Yakobo
"Yakobo" hapa inamaanisha uzao wake, watu wa Israeli. "Yahwe amewachagua uzao wa Yakobo"
# Israeli kama mali yake
"ameichagua Israeli kuwa mali yake"