# kwa kuwa ni vyema kufanya hivyo "kwa sababu tunapata raha kwa kulisifu jina lake" # Yahwe amemchagua Yakobo "Yakobo" hapa inamaanisha uzao wake, watu wa Israeli. "Yahwe amewachagua uzao wa Yakobo" # Israeli kama mali yake "ameichagua Israeli kuwa mali yake"