sw_tn/psa/125/004.md

20 lines
608 B
Markdown

# Fanya wema, Yahwe
Hili ni ombi. Nomino dhahania "wema" inaweza kuelezwa kama tendo. "Yahwe, tafadhali fanya vitu vizuri" au "Yahwe, nakusihi ufanye vitu vizuri"
# walio sawa mioyoni mwao
Hapa "mioyoni" inamaanisha hamu. "hamu ya kufanya kilicho sawa"
# geukia
Kukataa kumti Yahwe kunazungumziwa kama kugeuka kutoka njia nzuri. "acha kizuri na kwenda"
# njia zao zilizopinda
Hapa njia za uovu zinazungumziwa kana kwamba zilikuwa ni njia ambayo haiko wima. "njia zao za uovu"
# atawaongoza
Watu wanaongozwa ili kuadhibiwa. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "kuwaongoza ili kuwaadhibu"