sw_tn/psa/119/093.md

12 lines
317 B
Markdown

# Kamwe sitasahau
"Daima nitakumbuka"
# maana kwa hayo umeniweka hai
Inadokezwa kwamba mwandishi anatii maagizo ya Mungu. "kwa kuwa umeniweka kuwa hai kwa sababu ninazitii"
# kwa kuwa natafuta maagizo yako
Kujaribu kutii maagizo ya Mungu inazungumziwa kana kwamba maagizo ni kitu ambacho mtu anatakiwa kutafuta.