# Kamwe sitasahau "Daima nitakumbuka" # maana kwa hayo umeniweka hai Inadokezwa kwamba mwandishi anatii maagizo ya Mungu. "kwa kuwa umeniweka kuwa hai kwa sababu ninazitii" # kwa kuwa natafuta maagizo yako Kujaribu kutii maagizo ya Mungu inazungumziwa kana kwamba maagizo ni kitu ambacho mtu anatakiwa kutafuta.