|
# Hasira ya moto imenishika
|
|
|
|
Hii ni lahaja. Hasira inaelezwa kana kwamba ni mtu anayeweza kumkamata mtu mwingine. "Nimekuwa na hasira sana"
|
|
|
|
# Sheria zako zimekuwa nyimbo zangu
|
|
|
|
"Nimetumia sheria zako kama maneno ya muziki wangu" au "Nimutunga nyimbo kutokana na sheria zako"
|