# Hasira ya moto imenishika Hii ni lahaja. Hasira inaelezwa kana kwamba ni mtu anayeweza kumkamata mtu mwingine. "Nimekuwa na hasira sana" # Sheria zako zimekuwa nyimbo zangu "Nimetumia sheria zako kama maneno ya muziki wangu" au "Nimutunga nyimbo kutokana na sheria zako"