sw_tn/psa/119/047.md

8 lines
246 B
Markdown

# Ninafurahi katika amri zako
Maana zinazowezekana ni 1) "Ninapata furaha katika kusoma amri zako" au 2) "Ninafuraha kuwa nina nafasi ya kusoma amri zako"
# nitainua mikono yangu
Hii ni lahaja inayomaanisha kutunza au kuheshimu amri za mungu.