# Ninafurahi katika amri zako Maana zinazowezekana ni 1) "Ninapata furaha katika kusoma amri zako" au 2) "Ninafuraha kuwa nina nafasi ya kusoma amri zako" # nitainua mikono yangu Hii ni lahaja inayomaanisha kutunza au kuheshimu amri za mungu.