sw_tn/psa/119/037.md

20 lines
532 B
Markdown

# Geuza macho yangu yasitazame vitu visivyo na faida
Hii ni sitiari inayomaanisha mtu anayetamani vitu ambavyo havina thamani ya milele.
# nifufue katika njia zako
"nifanye niweze kuishi kama unavyotaka niishi"
# nifufue
"fanya maisha yangu yawe imara" au "nipe nguvu"
# Tekeleza kwa mtumishi wako ahadi yako uliyoahidi wale wanao kuheshimu
"Fanya kwa mtumishi wako kile ulichoahidi kufanya kwa wale wanao kuheshimu"
# mtumishi wako
Mwandishi anajieleza kama mtumishi wa Mungu kuonesha unyenyekevu. "mimi, mtumishi wako"