sw_tn/psa/118/026.md

28 lines
641 B
Markdown

# Amebarikiwa anayekuja kwa jina la Yahwe
Hapa makuhani wanaanza kuzungumza na mfalme.
# anayekuja kwa jina la Yahwe
Hapa neno "jina" linawakilisha uwezo wa Yahwe. "yule anayekuja katika nguvu ya Yahwe"
# tutakubariki kutoka katika nyumba ya Yahwe
Hapa makuhani wanazungumza na watu.
# nyumba ya Yahwe
Neno "nyumba" linamaanisha hekalu. "hekalu la Yahwe"
# ametupa nuru
Mwandishi anamzungumzia Yahwe kuwabariki watu wake kana kwamba Yahwe anamulika mwanga juu yao. "ametubariki"
# funga sadaka kwa kamba
"kaza sadaka kwa kamba"
# Wewe ni Mungu wangu
Hapa mwandishi anaanza kuzungumza tena na anazungumza na Yahwe moja kwa moja.