# Amebarikiwa anayekuja kwa jina la Yahwe Hapa makuhani wanaanza kuzungumza na mfalme. # anayekuja kwa jina la Yahwe Hapa neno "jina" linawakilisha uwezo wa Yahwe. "yule anayekuja katika nguvu ya Yahwe" # tutakubariki kutoka katika nyumba ya Yahwe Hapa makuhani wanazungumza na watu. # nyumba ya Yahwe Neno "nyumba" linamaanisha hekalu. "hekalu la Yahwe" # ametupa nuru Mwandishi anamzungumzia Yahwe kuwabariki watu wake kana kwamba Yahwe anamulika mwanga juu yao. "ametubariki" # funga sadaka kwa kamba "kaza sadaka kwa kamba" # Wewe ni Mungu wangu Hapa mwandishi anaanza kuzungumza tena na anazungumza na Yahwe moja kwa moja.