sw_tn/psa/118/017.md

12 lines
342 B
Markdown

# Sitakufa, bali nitaishi
Mwandishi anaeleza wazo moja kwa njia hasi na chanya kusisitiza kuwa hakika ataishi.
# Yahwe ameniadhibu
"Yahwe amenifundisha"
# hajanikabidhi kwa mauti
Mwandishi anazungumzia mauti kana kwamba ni mtu ambaye Yahwe anaweza kumweka mtu chini ya uwezo wake. "hajaniruhusu kufa" au "hajawaruhusu adui zangu kuniua"