# Sitakufa, bali nitaishi Mwandishi anaeleza wazo moja kwa njia hasi na chanya kusisitiza kuwa hakika ataishi. # Yahwe ameniadhibu "Yahwe amenifundisha" # hajanikabidhi kwa mauti Mwandishi anazungumzia mauti kana kwamba ni mtu ambaye Yahwe anaweza kumweka mtu chini ya uwezo wake. "hajaniruhusu kufa" au "hajawaruhusu adui zangu kuniua"