sw_tn/psa/107/041.md

28 lines
776 B
Markdown

# Lakina ana...
"Lakini Yahwe"
# wahitaji
Hii inamaanisha watu wahitaji. "watu wahitaji" au "watu maskini"
# hujali familia zake kama kundi
Hapa Daudi analinganisha jinsi Yahwe anavyowajali watu wake na jinsi mchungaji anavyojali kondoo wake. Maana zinazowezekana ni 1) "hufanya idadi ya watu kwatika famila zao kuongezeka kama kundi" au 2) "huwajali kama mchungaji anavyojali kondoo wake"
# Wanyofu
Hii inamaanisha watu wanaoishi maisha ya unyofu. "Watu wanyofu" au "Watu wanaofanya kilicho sawa"
# uovu wote
Hapa watu waovu wanazungumziwa kama "uovu." "watu wote waovu"
# huziba mdomo
hii inamaanisha kutokujibu kitu. "hana kitu cha kumjibu Yahwe"
# ayaangalie mambo haya yote
Hii namaanisha kuwaza vitu hivi. "kuwaza kuhusu hivi vitu" au "kukumbuka hivi vitu"