forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
315 B
Markdown
8 lines
315 B
Markdown
# na wakaletwa chini ya mamlaka yao
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "na adui zao walisababisha wao kuwa chini ya mamlaka yao"
|
|
|
|
# wakashushwa chini kwa dhambi yao wenyewe
|
|
|
|
Hapa msemo "kushushwa chini" ina maana ya kuangamizwa. Pia, hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "dhambi yao iliwaharibu"
|