# na wakaletwa chini ya mamlaka yao Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "na adui zao walisababisha wao kuwa chini ya mamlaka yao" # wakashushwa chini kwa dhambi yao wenyewe Hapa msemo "kushushwa chini" ina maana ya kuangamizwa. Pia, hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "dhambi yao iliwaharibu"