sw_tn/psa/106/010.md

16 lines
584 B
Markdown

# Aliwaokoa kutoka katika mkono ... na akawaokoa kutoka katika mkono
Misemo hii miwili kimsingi ina maana moja na inatumika pamoja kusisitiza ya kwamba Yahwe aliwaokoa kutoka kwa adui zao.
# mkono wa wale ambao walimchukia
Hapa "mkono" una maana ya uwezo na utawala. "uwezo wa wale ambao walimchukia" au "utawala wa wale ambao walimchukia"
# yaliwafunika wapinzani wao
Hii ni njia ya upole ya kuzungumza kuhusu yao kuzama majini. "alizamisha majini maadui zake"
# Kisha wakaamini maneno yake
Hapa nano "wakaamini" ina maana ya "mababu zao" na neno "yake" ina maana ya "Yahwe".