sw_tn/psa/103/009.md

12 lines
346 B
Markdown

# Hataadabisha wakati wote; hakasiriki kila mara
Misemo hii miwili ina maana za kufanana. Msemo wa pili unaimarisha wazo la kwanza.
# Hatufanyii ... au kutulipa
Misemo hii miwili ina usambamba na inasisitiza kwamba Mungu hatuadhibu kama tunavyostahili. "Hatulipi kwa adhabu tunayostahili kwa ajili ya dhambi zetu"
# Hatufanyii
"Hautuadhibu"