# Hataadabisha wakati wote; hakasiriki kila mara Misemo hii miwili ina maana za kufanana. Msemo wa pili unaimarisha wazo la kwanza. # Hatufanyii ... au kutulipa Misemo hii miwili ina usambamba na inasisitiza kwamba Mungu hatuadhibu kama tunavyostahili. "Hatulipi kwa adhabu tunayostahili kwa ajili ya dhambi zetu" # Hatufanyii "Hautuadhibu"